Ticker

6/recent/ticker-posts

HUU NDIO UKWELI ALIYEMUUA MSANII MBALAMWEZI NI HUYU........


Msanii Kutoka kundi la muziki hapa Tanzania la "the mafik"Amefariki dunia katika mazingira ya utata,baada ya mwili wake kukutwa .
Ukiwa umetubwa maeneo ya mbezi africana huku ukiwa uchi, mwanamziki huyu ambae walitamba na nyimbo Kama"passenger"akiwa na wenzake wawili Kutoka kundi Hilo.
Taarifa zaidi juu ya kifo hiki Cha utata utaendelea kuzipata hapahapa.

Post a Comment

0 Comments